Core include appears below:
Raia wa Nigeria walipiga kura katika uchaguzi mkuu wa Jumamosi. Wagombea 18 wanawania kuwa rais na watu pia waliwapigia kura maseneta na wajumbe wa baraza la wawakilishi. BBC inatumia data iliyotolewa na Tume Huru ya Kitaifa ya Uchaguzi ya Nigeria (Inic) kujumlisha matokeo.
Kushinda katika awamu ya kwanza, mgombea lazima awe na wingi wa kura na zaidi ya 25% ya kura katika theluthi mbili ya majimbo 36 na katika Eneo la Mji Mkuu wa Shirikisho(Abuja)
Matokeo yaliyosajiriwa mara ya mwisho: 19/04/2023, 18:00:23 muda wa eneo (GMT+1)
Matokeo ya mwisho

Chama | Viti |
---|---|
All Progressives Congress | 59 |
Peoples Democratic Party | 36 |
Labour Party | 8 |
Wengine | 4 |
New Nigeria Peoples Party | 2 |
Matokeo yaliyosajiriwa mara ya mwisho: 19/04/2023, 18:00:23 muda wa eneo (GMT+1)
Chama | Viti |
---|---|
All Progressives Congress | 159 |
Peoples Democratic Party | 104 |
Labour Party | 35 |
New Nigeria Peoples Party | 18 |
Wengine | 9 |
Haijatangazwa | 35 |
Designers: Olaniyi Adebimpe and Millicent Wachira; Visual Artists: Mayowa Alabi and George Wafula: Waandishi Data: Yusuf Akinpelu and Brian Osweta; Developers; Boaz Ochieng, Marcos Gurgel, Ayu Widyaningsih Idjajaand na David Ayoola; Mkuu wa mradi: Dorothy Otieno.
...there we go.