Iko chini
Fuatilia kama uko katika hatari ya kuwa na shinikizo la juu la damu
Je, shinikizo lako la damu ni la kawaida?
Tumia huduma hii kufuatilia hali ya shinikizo lako la damu na kupata taarifa ya nini cha kufanya baadaye.
Jinsi ya kufatilia wastani wa shinikizo lako la damu
Shinikizo la damu linaandikwa kwa namba mbili. Namba ya systolic inawakilisha shinikizo katika mishipa ya damu wakati moyo unapojisukuma au kupiga. Namba ya diastoli inawakilisha shinikizo katika mishipa wakati moyo unapopumzika kati ya mapigo.
Ingiza vipimo vyako vya shinikizo la damu vya nyakati mbili tofauti hapa chini.
Kipimo cha kwanza
Kipimo cha pili
Walau seti moja ya kipimo halali ya kinahitajika