Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) yanaendelea nchini Misri huku timu 24 zikiminyana kwa mara ya kwanza. Lakini nje ya uwanja, tunafikiri kuwa ni jambo la kufurahisha kuuliza: "Je wajua nani atashinda mataji mengine ukiacha la mpira linaloshindaniwa AFCON?" Katika mchezo wetu tunazigonganisha nchi mbalimbali ili kupata bingwa kwenye kasi ya intaneti, umri wa kuishi, rushwa na mambo mengine.
Chagua kundi
Nchi gani ina kasi zaidi ya intaneti?
Mzunguko wa 16 bora
Zimbabwe vs Kenya.
Msindi: Kenya
Afrika Kusini vs Tunisia.
Msindi: Afrika Kusini
Madagascar vs Cote d'Ivoire.
Msindi: Madagascar
Ghana vs Mali.
Msindi: Ghana
Angola vs Morocco.
Msindi: Morocco
Senegal vs DR Congo.
Msindi: Senegal
Nigeria vs Kameruni.
Msindi: Nigeria
Uganda vs Tanzania.
Msindi: Uganda
Robo Fainali
Kenya vs Afrika Kusini.
Msindi: Afrika Kusini
Madagascar vs Ghana.
Msindi: Madagascar
Morocco vs Senegal.
Msindi: Senegal
Nigeria vs Uganda.
Msindi: Uganda
Nusu Fainali
Afrika Kusini vs Madagascar.
Msindi: Madagascar
Senegal vs Uganda.
Msindi: Senegal
Fainali
Madagascar
Senegal
Madagascar vs Senegal.
Msindi: Madagascar
Madagascar
Mwezi Mei 2019, kasi ya intaneti nchini Madagascar ilikuwa 28.08 megabits kwa sekunde - hiyo ni kasi ya pili kwa ukubwa barani Afrika baada ya ile ya Cape Verde. Lakini kasi hiyo, haimaanishi kuwa watu wengi wanatumia intaneti. Kwa mujibu wa Benki ya Dunia, mwaka 2017 ni asilimia 10 tu ya wananchi wa Madagascar ndio walikuwa wakitumia intaneti
Chanzo: Speetest Global Index by Ookla. Download speed for fixed broadband, May 2019. Data for Guinea-Bissau and Guinea unavailable.
Nchi gani inakula zaidi wali?
Mzunguko wa 16 bora
Uganda vs Tanzania.
Msindi: Tanzania
Cote d'Ivoire vs Ghana.
Msindi: Cote d'Ivoire
Guinea vs Kenya.
Msindi: Guinea
Guinea-Bissau vs Mauritania.
Msindi: Guinea-Bissau
Mali vs Afrika Kusini.
Msindi: Mali
Senegal vs Nigeria.
Msindi: Senegal
Madagascar vs Benin.
Msindi: Madagascar
Misri vs Angola.
Msindi: Misri
Robo Fainali
Tanzania vs Cote d'Ivoire.
Msindi: Cote d'Ivoire
Guinea vs Guinea-Bissau.
Msindi: Guinea
Mali vs Senegal.
Msindi: Senegal
Madagascar vs Misri.
Msindi: Madagascar
Nusu Fainali
Cote d'Ivoire vs Guinea.
Msindi: Guinea
Senegal vs Madagascar.
Msindi: Senegal
Fainali
Guinea
Senegal
Guinea vs Senegal.
Msindi: Guinea
Guinea
Mwaka 2018, inakisiwa kila raia Guinea kwa wastani alikula kilo 190 ya mchele. Japo wana hali ya hewa nzuri kwa kulima mpunga, mchele ndiyo bidhaa inayoagizwa kwa wingi kutoka nje. Wanaagiza zaidi kutoka bara Asia.
Chanzo: IRRI. Estimated milled rice consumption per capita, 2018. No data for Benin, Namibia, Tunisia and Zimbabwe
Nchi gani ina Pato la Taifa (GDP) kubwa?
Mzunguko wa 16 bora
Zimbabwe vs Kenya.
Msindi: Kenya
Afrika Kusini vs Mauritania.
Msindi: Afrika Kusini
Nigeria vs Morocco.
Msindi: Morocco
Ghana vs Tunisia.
Msindi: Tunisia
Angola vs Namibia.
Msindi: Namibia
Algeria vs Benin.
Msindi: Algeria
Guinea vs Kameruni.
Msindi: Kameruni
Misri vs Senegal.
Msindi: Senegal
Robo Fainali
Kenya vs Afrika Kusini.
Msindi: Afrika Kusini
Morocco vs Tunisia.
Msindi: Tunisia
Namibia vs Algeria.
Msindi: Namibia
Kameruni vs Misri.
Msindi: Misri
Nusu Fainali
Afrika Kusini vs Tunisia.
Msindi: Afrika Kusini
Namibia vs Misri.
Msindi: Namibia
Fainali
Afrika Kusini
Namibia
Afrika Kusini vs Namibia.
Msindi: Afrika Kusini
Afrika Kusini
Wastani wa pato la mtu nchini Afrika Kusini ni zaidi ya dola 6,000 kwa mwaka, kwa mujibu wa Benki ya Dunia. Lakini Afrika ya Kusini inasalia kuwa ni moja ya nchi yenye uchumi usio na uwiano duniani. Japo nchi hiyo ina watu wengi zaidi wenye uwezo wa kifedha barani Afrika, ukosefu wa ajira nchini humo kwa miezi minne ya mwisho ya 2018 ulikuwa ni wastani wa asilimia 27. Hali ya umasikini ni kubwa nchini humo.
Chanzo: World Bank, GDP per capita, Current US$, 2017
Nchi gani ina deni dogo la taifa?
Mzunguko wa 16 bora
Misri vs Tanzania.
Msindi: Tanzania
Cote d'Ivoire vs Benin.
Msindi: Benin
Nigeria vs Uganda.
Msindi: Nigeria
Guinea-Bissau vs Angola.
Msindi: Guinea-Bissau
Mali vs Morocco.
Msindi: Mali
Algeria vs Burundi.
Msindi: Algeria
Guinea vs Kameruni.
Msindi: Guinea
DR Congo vs Kenya.
Msindi: DR Congo
Robo Fainali
Tanzania vs Benin.
Msindi: Benin
Nigeria vs Guinea-Bissau.
Msindi: Nigeria
Mali vs Algeria.
Msindi: Algeria
Guinea vs DR Congo.
Msindi: DR Congo
Nusu Fainali
Benin vs Nigeria.
Msindi: Nigeria
Algeria vs DR Congo.
Msindi: Algeria
Fainali
Nigeria
Algeria
Nigeria vs Algeria.
Msindi: Algeria
Algeria
Mapato makubwa yatokanayo na mafuta na matumizi mazuri ya hifadhi ya pesa zinazotokana na mafuta imeviwezesha Algeria kukuaribia kulifuta kabisa deni lao la nje mpaka kufikia 3.4% ya pato la taifa. Hiyo ina maana kuwa endapo raia wa nchi hiyo wataamua kutoa mishahara yao, itawachukua siku 12 tu kulipa deni hilo lililosalia. Nchini Mauritania itawachukua siku 311 kufanya hivyo.
Chanzo: World Bank (IDS), Total External Debt to GNI (%), 2017. No data for Namibia.
Nchi gani watu wake wanaishi muda mrefu zaidi?
Mzunguko wa 16 bora
Uganda vs Senegal.
Msindi: Senegal
Morocco vs Angola.
Msindi: Morocco
Nigeria vs Afrika Kusini.
Msindi: Afrika Kusini
Ghana vs Mauritania.
Msindi: Mauritania
Tunisia vs Namibia.
Msindi: Tunisia
Algeria vs Kameruni.
Msindi: Algeria
Madagascar vs Benin.
Msindi: Benin
Misri vs Tanzania.
Msindi: Misri
Robo Fainali
Senegal vs Morocco.
Msindi: Morocco
Afrika Kusini vs Mauritania.
Msindi: Mauritania
Tunisia vs Algeria.
Msindi: Tunisia
Benin vs Misri.
Msindi: Misri
Nusu Fainali
Morocco vs Mauritania.
Msindi: Morocco
Tunisia vs Misri.
Msindi: Tunisia
Fainali
Morocco
Tunisia
Morocco vs Tunisia.
Msindi: Tunisia
Tunisia
Raia wa Tunisia waliozaliwa 2017 wanategemea kuishi mpaka kufikia miaka 78, kati ya hiyo 67 wakiwa na afya njema. Wanawake wanatarajiwa kufikia miaka 80 na wanaume 76. Vyanzo vikuu vya vifo vya mapema nchini humo ni magonjwa ya moyo na ajali za barabarani.
Chanzo: Global Burden of Disease Study 2017, Institute for Health Metrics and Evaluation.
Nchi gani ina watu wengi zaidi?
Mzunguko wa 16 bora
DR Congo vs Kenya.
Msindi: DR Congo
Afrika Kusini vs Guinea.
Msindi: Afrika Kusini
Nigeria vs Cote d'Ivoire.
Msindi: Nigeria
Ghana vs Mali.
Msindi: Ghana
Angola vs Morocco.
Msindi: Morocco
Tanzania vs Uganda.
Msindi: Tanzania
Madagascar vs Kameruni.
Msindi: Madagascar
Misri vs Algeria.
Msindi: Misri
Robo Fainali
DR Congo vs Afrika Kusini.
Msindi: DR Congo
Nigeria vs Ghana.
Msindi: Nigeria
Morocco vs Tanzania.
Msindi: Tanzania
Madagascar vs Misri.
Msindi: Misri
Nusu Fainali
DR Congo vs Nigeria.
Msindi: Nigeria
Tanzania vs Misri.
Msindi: Misri
Fainali
Nigeria
Misri
Nigeria vs Misri.
Msindi: Nigeria
Nigeria
Ikiwa na zaidi ya watu milioni 200, Nigeria ndio nchi yenye watu wengi zaidi Afrika na ya 7 duniani. Pia watu wa taifa hilo wana umri mdogo, wat wanne kati ya 10 wapo chini ya miaka 14.
Chanzo: CIA World Factbook, estimated population in 2018
Nchi gani ina eneo kubwa zaidi?
Mzunguko wa 16 bora
Misri vs Tanzania.
Msindi: Misri
Afrika Kusini vs Mauritania.
Msindi: Afrika Kusini
Nigeria vs Morocco.
Msindi: Nigeria
Kameruni vs Mali.
Msindi: Mali
Angola vs Namibia.
Msindi: Angola
Algeria vs Zimbabwe.
Msindi: Algeria
Madagascar vs Ghana.
Msindi: Madagascar
DR Congo vs Kenya.
Msindi: DR Congo
Robo Fainali
Misri vs Afrika Kusini.
Msindi: Afrika Kusini
Nigeria vs Mali.
Msindi: Nigeria
Angola vs Algeria.
Msindi: Algeria
Madagascar vs DR Congo.
Msindi: DR Congo
Nusu Fainali
Afrika Kusini vs Mali.
Msindi: Mali
Algeria vs DR Congo.
Msindi: Algeria
Fainali
Mali
Algeria
Mali vs Algeria.
Msindi: Algeria
Algeria
Algeria ndio nchi kubwa zaidi Afrika na ya 10 duniani. Hata hivyo zaidi ya 80% ya eneo lake ni jangwa la Sahara. Nchi kubwa zaidi ilikuwa ni Sudani, kabla ya kugawanyika mwaka 2011. Algeria haina msongamano mkubwa wa watu, kwa kilometa mraba moja kuna watu 17 wakati Burundi ina watu 423 kwa eneo la ukubwa kama huo.
Chanzo: World Bank, 2018
Nchi gani yenye kiwango kidogo cha rushwa?
Mzunguko wa 16 bora
Uganda vs Tanzania.
Msindi: Tanzania
Namibia vs Mauritania.
Msindi: Namibia
Guinea vs Morocco.
Msindi: Morocco
Ghana vs Mali.
Msindi: Ghana
Tunisia vs Afrika Kusini.
Msindi: Afrika Kusini
Senegal vs Kameruni.
Msindi: Senegal
Nigeria vs Benin.
Msindi: Benin
Misri vs Algeria.
Msindi: Algeria
Robo Fainali
Tanzania vs Namibia.
Msindi: Namibia
Morocco vs Ghana.
Msindi: Morocco
Afrika Kusini vs Senegal.
Msindi: Senegal
Benin vs Algeria.
Msindi: Benin
Nusu Fainali
Namibia vs Morocco.
Msindi: Namibia
Senegal vs Benin.
Msindi: Senegal
Fainali
Namibia
Senegal
Namibia vs Senegal.
Msindi: Namibia
Namibia
Namibia ndiyo nchi inayotajwa kuwa na kiwango kidogo cha rushwa kwenye nchi zinazochuana kwenye AFCON, ikiishinda hata Senegal. Kwa mujibu wa ripoti ya dunia ya rushwa ya 2018, ipo nafasi ya tano Afrika, ambapo kinara ni Ushelisheli. Duniani, Namibia inazishinda nchi kama Italia na Uturuki.
Chanzo: Corruption Perception Index, 2018. Transparency International
Nchi gani raia wake wana furaha?
Mzunguko wa 16 bora
Uganda vs Senegal.
Msindi: Senegal
Morocco vs Mali.
Msindi: Morocco
Nigeria vs Afrika Kusini.
Msindi: Nigeria
Kameruni vs Tunisia.
Msindi: Kameruni
Mauritania vs Cote d'Ivoire.
Msindi: Cote d'Ivoire
Algeria vs Benin.
Msindi: Algeria
Guinea vs Ghana.
Msindi: Ghana
DR Congo vs Kenya.
Msindi: Kenya
Robo Fainali
Senegal vs Morocco.
Msindi: Morocco
Nigeria vs Kameruni.
Msindi: Nigeria
Cote d'Ivoire vs Algeria.
Msindi: Algeria
Ghana vs Kenya.
Msindi: Ghana
Nusu Fainali
Morocco vs Nigeria.
Msindi: Nigeria
Algeria vs Ghana.
Msindi: Algeria
Fainali
Nigeria
Algeria
Nigeria vs Algeria.
Msindi: Nigeria
Nigeria
Nigeria inaongoza kwa wale wote walio AFCON kwa mujibu wa ripoti ya 2019, ambayo huangalia vitu kama kipato, afya, kutokuwepo kwa rushwa, uungwana na uhuru. Duniani Nigeria ipo katika nafasi ya 85, mwaka jana walikuwa nafasi ya 91. Kwa Afrika ni nchi ya pili nyuma ya Mauritius.
Chanzo: World Happiness Report 2019.
Nchi gani ina wanawake wengi bungeni?
Mzunguko wa 16 bora
Zimbabwe vs Tanzania.
Msindi: Tanzania
Namibia vs Mauritania.
Msindi: Namibia
Burundi vs Morocco.
Msindi: Burundi
Angola vs Kameruni.
Msindi: Angola
Tunisia vs Afrika Kusini.
Msindi: Afrika Kusini
Senegal vs Madagascar.
Msindi: Senegal
Guinea vs Guinea-Bissau.
Msindi: Guinea
Uganda vs Algeria.
Msindi: Uganda
Robo Fainali
Tanzania vs Namibia.
Msindi: Namibia
Burundi vs Kameruni.
Msindi: Burundi
Afrika Kusini vs Senegal.
Msindi: Afrika Kusini
Guinea vs Uganda.
Msindi: Uganda
Nusu Fainali
Namibia vs Burundi.
Msindi: Namibia
Afrika Kusini vs Uganda.
Msindi: Afrika Kusini
Fainali
Namibia
Afrika Kusini
Namibia vs Afrika Kusini.
Msindi: Namibia
Namibia
Namibia wanawake ni asilimia 46 bungeni. Nchi hiyo ipo nyuma ya Rwanda tu, ambayo ndio kinara duniani katika eneo hilo. Namibia pia ipo nafasi ya 10 duniani kwa pengo dogo la kipato baina ya wanawake na wanaume ikiwashinda mpaka Ujerumani na Uingereza.
Chanzo: Inter-Parliamentary Union
Nchi gani imeshinda medali nyingi za Olimpiki?
Mzunguko wa 16 bora
Zimbabwe vs Algeria.
Msindi: Algeria
Afrika Kusini vs Madagascar.
Msindi: Afrika Kusini
Nigeria vs Cote d'Ivoire.
Msindi: Nigeria
Kameruni vs Angola.
Msindi: Kameruni
Tunisia vs Morocco.
Msindi: Morocco
Kenya vs Uganda.
Msindi: Kenya
Burundi vs Ghana.
Msindi: Burundi
Misri vs Tanzania.
Msindi: Misri
Robo Fainali
Algeria vs Afrika Kusini.
Msindi: Afrika Kusini
Nigeria vs Kameruni.
Msindi: Nigeria
Morocco vs Kenya.
Msindi: Kenya
Burundi vs Misri.
Msindi: Misri
Nusu Fainali
Afrika Kusini vs Nigeria.
Msindi: Afrika Kusini
Kenya vs Misri.
Msindi: Kenya
Fainali
Afrika Kusini
Kenya
Afrika Kusini vs Kenya.
Msindi: Kenya
Kenya
Kenya ndio bingwa katika eneo hilo, medali za dhahabu 31, fedha 38, na shaba 34. Kenya imeshinda medali nyingi katika eneo la riadha, hasa mbio ndefu.
Chanzo: IOC
Nchi gani ina maeneo mengi ya Hifadhi ya Urithi wa Dunia?
Mzunguko wa 16 bora
DR Congo vs Senegal.
Msindi: Senegal
Afrika Kusini vs Benin.
Msindi: Afrika Kusini
Madagascar vs Cote d'Ivoire.
Msindi: Cote d'Ivoire
Kameruni vs Mali.
Msindi: Mali
Tunisia vs Morocco.
Msindi: Morocco
Kenya vs Zimbabwe.
Msindi: Kenya
Nigeria vs Ghana.
Msindi: Nigeria
Misri vs Algeria.
Msindi: Misri
Robo Fainali
Senegal vs Afrika Kusini.
Msindi: Afrika Kusini
Cote d'Ivoire vs Mali.
Msindi: Mali
Morocco vs Kenya.
Msindi: Morocco
Nigeria vs Misri.
Msindi: Misri
Nusu Fainali
Afrika Kusini vs Mali.
Msindi: Afrika Kusini
Morocco vs Misri.
Msindi: Morocco
Fainali
Afrika Kusini
Morocco
Afrika Kusini vs Morocco.
Msindi: Afrika Kusini
Afrika Kusini
Afrika Kusini ina maeneo 10, ikiwemo ya binadamu wa kale na kisiwa cha Robben ambacho Nelson Mandela alifungwa.
Chanzo: UNESCO.
Afrika Kusini
Algeria
Angola
Benin
Burundi
Cote d'Ivoire
DR Congo
Ghana
Guinea
Guinea-Bissau
Kameruni
Kenya
Madagascar
Mali
Mauritania
Misri
Morocco
Namibia
Nigeria
Senegal
Tanzania
Tunisia
Uganda
Zimbabwe
Imeandaliwa na Olawale Malomo na Elisabetta Tollardo, Olawale Malomo, Millicent Wachira, Aaron Akinyemi, Anthony Makokha na Muthoni Muchiri.
Methodolojia
Nchi zinazoshiriki AFCON zimeorodheshwa kulingana na kiwango katika maeneo 12, ambayo ipo juu ndio mshindi. Nchi zinashindanishwa kama ilivyo kwenye ratiba rasmi ya mashindan yanayoendelea Misri. Tofauti ipo katika maeneo mawili ambayo ni medali za olimpiki na Maeneo ya Hifadhi ya Urithi wa Dunia. Kwenye upande wa medali,nchi zimeorodheshwa kulingana na medali za dhahabu, fedha na shaba.