Taoufik Makhloufi, 33
Taoufik Makhloufi ni mwanariadha anayekimbia mbio za masafa ya kati (mita 800 na mita 1,500).
Alishiriki kwa mara ya kwanza katika michuano ya Olimpiki ya London 2012 na kushinda medali ya dhahabu katika mbio za mita 1,500 na medali za shaba mbili katika michuano ya Olimpiki ya Rio ya mwaka 2016.